Ipi ni mashine bora na imara kwenye kuchomelea

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,250
Habari wanaJamiiForums

Kwa wale mafundi wa kuchomelea naomba kupata maarifa kayi ya hizi mashine 2 ipi nzuri zaidi kwenye kuchomelea na kwanini na naomba kujua uwezo wake vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…