Ipi ni masters nzuri....?

yo-wizzle

Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
36
Reaction score
5
Ipi ni masters nzuri baada ya kumaliza BSc.Education(Bachelor of science with education),either M.Sc(Mathematics),M.Sc(Management) au kama kuna nyingine yoyote unayoifahamu,please naomba unifahamishe.I hope nitapata ushirikiano wa kutosha.natanguliza shukrani,asanteni
 
Nimesoma science iliyobase kwenye Technology,Ningekushauri usome Mathematics, ila wanaoamini katika uongozi wanaweza kukushauri Management! All in all uzuri uko machoni/moyoni mwa beholder!
 
Asante sana mkuu,nashukuru kwa mchango wako
 
Nakushaur usome Msc statistics. km una msingi wa geo au hesabu.
 
Bro Umechelewa Deadline Imepita Pale Nelson Mandela- Institute Of Science And Technology, Unge Apply MSc( Applied Mathematics And Computational Science) Ipo Tight Kinoma! But Una GPA la ukweli!? yaan kuanzia 3.8 broo!
Scholarship nje nje!
 
Hiki chuo nakitaman sana....embu na mim nimalize degree nkapige maths...
 
Msc. Risk Management. Soko lakutosha...East africa ajira yakutosha. Msc. International Transport & LOGISTICS. UDSM.
 
Bro Umechelewa Deadline Imepita Pale Nelson Mandela- Institute Of Science And Technology, Unge Apply MSc( Applied Mathematics And Computational Science) Ipo Tight Kinoma! But Una GPA la ukweli!? yaan kuanzia 3.8 broo!
Scholarship nje nje!

Kaka nina mzigo wa 4.0,kama kuna sehemu nyingine tafadhali naomba info,asante
 
Bro Umechelewa Deadline Imepita Pale Nelson Mandela- Institute Of Science And Technology, Unge Apply MSc( Applied Mathematics And Computational Science) Ipo Tight Kinoma! But Una GPA la ukweli!? yaan kuanzia 3.8 broo!
Scholarship nje nje!

acha kumtisha, wanahitaji GPA ya kuanzia 3.5!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…