Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Mara nyingi najiuliza umuhimu wa siasa lakini bado sijapata jibu.
Tena nahitaji msaada wa kujulishwa kama siasa ni lazima katika kuendesha nchi.
Naona siasa kama porojo zinazopingana na utaalamu.
Maamuzi ya kisiasa yamejaa jazba,hisia na mitazamo ya watu.
Siasa haijali taaluma bali hukumbatia itikadi.
Ipi ni nafasi ya siasa kwa maendeleo ya nchi?
Makyao,
Siasa ni utaratibu wa kugawa madaraka katika jamii.
Hiyo yote ni siasa.
Sasa hebu fikiria tena kisha tuambie kama siasa haina umuhimu katika maendeleo.
Siku njema
MILLIONAIRE,
Kwa nini unaita utaratibu wa kugawa madaraka katika jamii ndiyo siasa?
Unamaana hata tukitaka kumpata DAKTARI MKUU WA UPASUAJI katika hosipitali fulani tupige kura kama kumpata monitor wa darasa?
Mara nyingi najiuliza umuhimu wa siasa lakini bado sijapata jibu.
Tena nahitaji msaada wa kujulishwa kama siasa ni lazima katika kuendesha nchi.
Naona siasa kama porojo zinazopingana na utaalamu.
Maamuzi ya kisiasa yamejaa jazba,hisia na mitazamo ya watu.
Siasa haijali taaluma bali hukumbatia itikadi.
Ipi ni nafasi ya siasa kwa maendeleo ya nchi?
Bwana Makyao na wengine; je mpaka hapa mnadhani siasa ni nini? Je sasa siasa ni nini? je is it devil?
Mchukia Fisadi; ............ aliniambia hivi said:MCHUKIAFISADI,
Kama siasa ni shetani au laa, mimi sijui.
Hata mimi nahitaji msaada kwani athari za siasa katika maendeleo ya nchi ni mbaya kila mahali.
Bado nahitaji msaada.
Hicho kitu siasa kina umuhimu katika maendeleo?
Someni kisa hiki ..ndipo mtajua siasa ni nini:
little John goes to his dad and asks, "What is politics?" Dad
says, "Well son, let me try to explain it this way. I'm the
breadwinner of the family, so let's call me Capitalist/Entrepreneur/Taxpayer. Mommy is the administrator of the money, so we'll call her the
Government. We're here to take care of your needs, so we'll call you The People. The nanny, well, consider her The Working Class. Your baby brother, we'll call him The Future. Now go think about
this and see if it makes sense."
So the little boy goes off to bed thinking about what Dad has
said. Later that night, he hears his baby brother crying and
runs to his room only to find that his diapers are very soiled.
So the little boy goes to his parents' room. Mom is sound
asleep. Not wanting to wake her, he goes to the nanny's room.
Finding the door locked, he looks through the peephole and sees his father in bed with the nanny. He gives up and goes back to bed.
The next morning, the little boy says to his father, "Dad, I
think I understand what politics is now."
"Good son, tell me in your own words then what politics are."
The little boy replies, "Well, while Capitalist is screwing the
Working Class, the Government is sound asleep, the People are
being ignored and the Future is in deep shit."
WomenofSubstanc
You've decided to confuse me totally.
Come up with open answer.
ππ
Good answer dear. Je hii ndio maana ya siasa hasa? hukueleza zaidi ingawa nimeelewa jibu la yule mtoto kwa baba! Nauliza hii ndiyo siasa?