Ukiona unazisikia mada kama hizi ujue nawewe upo hapo hapo kijiweni!Mada za kijiweni hizi. ... Hehehee
Eeh mitaa yangu hio .. ila hizi mambo hazina ukwel wowote... Dereva ni kuwa makini na kufuata sheria tu...Ukiona unazisikia mada kama hizi ujue nawewe upo hapo hapo kijiweni!
💯🤝Kwangu Mimi naona nyanda za juu kusini ni njia ya kiume sana hasa ukianzia hapo iyovi,kitonga, na kuendelea transit,IT ni nyingi mno umakini wako ndio usalama wako.
Nenda lukumbulu huko ukakutane na utelezi wa kwenye lami!!! Saa nane mchana wa jua kali gari inakumwaga katikati ya barabara !! Unaeza sema umelogwaEeh mitaa yangu hio .. ila hizi mambo hazina ukwel wowote... Dereva ni kuwa makini na kufuata sheria tu...
Ukiambiwa kuwa makini, wewe unaelewaje?Nenda lukumbulu huko ukakutane na utelezi wa kwenye lami!!! Saa nane mchana wa jua kali gari inakumwaga katikati ya barabara !! Unaeza sema umelogwa
Experience matters a lot japo kufata sheria pia ni muhimu
Pale mbalizi mbeya pana vibao vingapi vya warnings na bado panaua kila siku? Watu wanakosa umakini wakiwa pale tu?Ukiambiwa kuwa makini, wewe unaelewaje?
Ugumu wa hizo njia ni upi??Eti kuna ukweli wowote juu ya msemo madereva wa kanda ya ziwa hawana uwezo waku battle mbele ya njia ya nyanda ya kusini.?
NB: Inasemekana njia za nyanda ya kusini ni ngumu zaidi kuliko kanda ya ziwa... Vipi imekaaje hii wakuu tupe uzoefu wako.
Kwangu Mimi naona nyanda za juu kusini ni njia ya kiume sana hasa ukianzia hapo iyovi,kitonga, na kuendelea transit,IT ni nyingi mno umakini wako ndio usalama wako.
Karibuni tuchangie.
hapana, abiria tuWewe sio dereva mkuu