GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Je...
- Umpige bonge la Mbata
- Umwamshe na Umlambe bonge la Kofi
- Umwamshe na Uanze Kumuhubiria neno la Mungu labda ana Pepo
- Umwagie Maji ya baridi Usoni
- Umkandamizie na Barafu Shingoni au Usoni mwake
- Umbebe ukamlaze Nje ili akiamka atie Adabu
- Umwamshe kisha uanze tu kupiga nae Stori za akina Messi na Ronaldo