GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Bora anae koroma kuliko anae kata mashuzi kama mizinga 21 ya rais mwalikwa.
Ndukiiiii🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Muwekeee
1.Unga wa klorokwini
2.muwekee pilipili kichaa kwenye lipsi
3.Mnusishe chupi ya demu sehemu ya mstari WA uke.
Dawa sahihi ni wewe kukoroma pia! Kama kukoroma ni makosa ya kiufundi ya Mungu, basi hata kutokukoroma yaweza kuwa ni hitilafu kubwa zaidi.
Usipokoroma tutajuaje upo hai?
Duuh, mkuu hi njia IPO kitalamu?Mkuu hapo jambo lahis la kufanya ni moja tu.
Maana ukimsumbua kwa kumpiga au kumuamsha, lazima mtakolofishana na kama anakuzid mababu atakushushia mabanzi zaidi ya moja.
Chakufanya wew ingia kulala nae alafu jifanye na wew umesinzia...
Lala nae opposite kisha mkanyage chini ya kidevu kwa kutumia mguu wako,
Ukifanya hivo atarekebisha urimi wake ambao ulikua umerud ndani kidogo na ndio unamfanya yeye kutoa sauti ya mkolomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo jambo lahis la kufanya ni moja tu.
Maana ukimsumbua kwa kumpiga au kumuamsha, lazima mtakolofishana na kama anakuzid mababu atakushushia mabanzi zaidi ya moja.
Chakufanya wew ingia kulala nae alafu jifanye na wew umesinzia...
Lala nae opposite kisha mkanyage chini ya kidevu kwa kutumia mguu wako,
Ukifanya hivo atarekebisha urimi wake ambao ulikua umerud ndani kidogo na ndio unamfanya yeye kutoa sauti ya mkolomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee 😄😄Mkuu hapo jambo lahis la kufanya ni moja tu.