redpill evengalist
Member
- Sep 9, 2024
- 12
- 254
Ipi ni njia sahihi ya kuendelea kutoa pesa kwa ajil ya matumizi ya mtoto?
Nimezaa na Binti mmoja kutoka SINGIDA kiufupi Nalazimishwa kufunga ndoa na mhusika lakini Binafsi sipo Tayar ktk Hilo kutokana na tabia alizokuwa kuwa NAZO.
Huyu Binti amekuwa Jeuri, kiburi, hashauriki kwachochote Mm kama mwanaume siwezi kuendelea kuvumilia.
Na mbaya Zaid nije kuoa mtu wa namna hiii Nilkuwa natoa laki 2 monthly kwa ajili ya matumizi ya mtoto lakini kwa sasa baada ya kutofautiana Nimestopisha kutuma pesa husika.
Sasa nahitaj kupata ushauri nitumie njia zipi Kuendelea kumhudumia Damu yangu?
Lakini sihitaji mawasiliano wala kuwasiliana na Mama wa mtoto