navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Rahisi Gharama 🐒Wakuu habari ya kazi, kijana wenu nimekuja kupata experience na ushauri kuhusu ujengaji wa nyumba.
Kati ya kujenga nyumba kwa tofari choma ambazo kwa huku nilipo tofari mpaka site ni shilling 100,pia kujengea hizi tofari unaweza tumia udongo bila cement. Chamsingi renta lazima uweke..
Pia,hapa nilipo tofari ya block mpaka site ni shilling 1200,
Je kipi itakua nafuu kutumia katika ujenzi kati ya hivyo viwili.ukizingatia gharama, usumbufu,uimara na muonekano wa nyumba..
Cjakupata mkuuRahisi Gharama [emoji205]
nenda na wakati [emoji205]
Swalinzurio sanaa kuliko kuchangia blindlyUko mkoa gan
Galama inategemeana na mazingira, maana kuna maeneo kupata material ya tofari za kuchoma ni galama sana, mfano kuni na nature ya udongo katika eneo husika,Wakuu habari ya kazi, kijana wenu nimekuja kupata experience na ushauri kuhusu ujengaji wa nyumba.
Kati ya kujenga nyumba kwa tofari choma ambazo kwa huku nilipo tofari mpaka site ni shilling 100,pia kujengea hizi tofari unaweza tumia udongo bila cement. Chamsingi renta lazima uweke..
Pia,hapa nilipo tofari ya block mpaka site ni shilling 1200,
Je kipi itakua nafuu kutumia katika ujenzi kati ya hivyo viwili.ukizingatia gharama, usumbufu,uimara na muonekano wa nyumba..
Sawa mkuuZa kuchoma mkuu Ili ziwe imara lazima zichomwe ndogo ndogo ambayo Kwa block inaweza ingia mara nne na kwenye ujenzi,watachelewa sana kumaliza mafundi,kuliko block.
Kama unataka uimara na haraka ni block mkuu.
Kwenye kuamua kati ya kutumia matofali ya kuchoma au block,angalia vifuatavyoWakuu habari ya kazi, kijana wenu nimekuja kupata experience na ushauri kuhusu ujengaji wa nyumba.