Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
HIVI UNAJUA YA KWAMBAš
-Tupac Amaru Shakur, Yote aliyoyafanya ikumbukwe kuwa alifariki akiwa na miaka 25 tuuš
-Michael Jackson akiwa na miaka 24 aliunda Album ya Thriller ambayo ndo albamu bora zaidi kwenye historia ya Muziki Dunianiš...
-Bob Marley alipata umaarufu duniani kote... akitamba na nyimbo kama 'One Love' aliyoitoa akiwa na miaka 20 tuu mnamo mwaka 1965š
-Usain Bolt nae alitwaa tuzo yake ya riadha katika mashindano ya Olimpiki akiwa na miaka 21 tuuš
-Lil Wayne alipata umaarufu duniani kote akiwa na miaka 25, baada ya kutoa albamu yake ya Carter III mwaka 2008
-Serena Williams alipata umaarufu kimataifa kama mcheza tennis akiwa na miaka 17 na kutwaa tuzo za kimataifaš
-Nguli, Mike Tyson alipata umaarufu kimataifa katika masumbwi akiwa na miaka 20 tuu mwaka 1986...Akishinda tuzo mbalimbali za kimataifaš
-Muhammad Ali alitwaa tuzo ya kimataifa ya World Heavyweight title akiwa na miaka 22 tuu akijizolea umaarufu duniani kote akiwa na umri mdogo tuuš
-Pia ikumbukwe kuwa Yamal ni mtoto wa 2007š
šHao wote hakuna hata mmoja aliyepata umaarufu na ukuu aliyeishi Afrika...Sasa sijui ni kweli hili ni bara lenye Laana auuuuš
āš¾Umaarufu wao wote wameupata nje ya Afrika
Au ndo kweli ya kuwa Afrika ni ardhi iliyolaaniwa kama Dini zisemavyo ukirejelea hadithi ya Nuhu na watoto wakeš...Maana mwana wa Nuhu aliyelaaniwa, Shem alikuja kukaa Afrikaš
š¤Hebu tujadili, Ipi ni sababu inayofanya Weusi walio nje ya Africa kuwa mabingwa na Magwiji sana kwenye vipaji vyao tofauti na walioishi Afrika pekee?
š¤Je ni kweli tumelaanika kama zisemavyo dini?
š¤Wapi tunakwama...Naamini wengi sana hata hapa Tanzania wana uwezo mkubwa na vipaji haswa ila ndo kutoboa mapema inakua Kikwazoš...Kuna vigingi haswa...Kanumba alijaribu ila dah...kizuri hakikudumu!!
Ipi siri ya mafanikio nje ya Afrika?
Si unaona Wamarekani weusi wengi ndo wanatawala Tasnia mbalimbali kama Filamu,Muziki nk
Ni mimi ndugu mwandishi nisiye na jina āš¾ š