Ipi ni sahihi??

Ipi ni sahihi??

Ahirisha ndio sahihi ....

mfano katika kamusi wameandika hivi

postpone = kuahirisha
 
Ahirisha ndio sahihi ....mfano katika kamusi wameandika hivi postpone = kuahirisha
Asante mkuu, kumbe watangazaji wetu ndio huwa wanakosea!
 
hahirisha hutokana na athari za kilahaja, sahihi ni kama alivyochangia mwenzetu.
 
Back
Top Bottom