Ipi ni sahihi?

Ipi ni sahihi?

Ipi ni sahihi Kati ya wavuti na tovuti?

Kulingana na Open Swahili Localization Project, maneno yote ni sahihi ila hayana maana moja.
  1. tovuti -- site
  2. wavuti -- website
 
Back
Top Bottom