Mkuu naelewa sana labda tu ka ukweli kamoja kwangu ni kwamba katika uzoefu wangu wa mahusiano, mahusiano yangu bora kabisa ni yale ambayo nilikutana na binti online, haya ambayo tunakutana tunasema tunajuana yote magumashi tuhajajua tuu
haya mambo hayana formula bana
popote pale unaweza kuweka kambi
na popote pale mwenza anapatikana
Anhaa na nini unafikiri huwa kinachangia mtu kukuta vile alivyotarajia sivyo? Uongo au too much expectations or rihanna and beyonce fotos?Mara nyingi njia za mitandao haidumu...nishaona cases nyingi sana ppo meet online hata mwezi haichukui washapigana chini..mimi i prefer watu wakutane face to face kabla hujaanza ku develop feelings na mtu...tatizo la kukutana online watu wanaanza kupendana au sijui ndio ku fall in love hata hawajakutana face to face..siku inapokuja wanakutana sasa ndio hapo..uliyodhania kumbe sie
M'Jr hiyo ni imani yako na matarajio yakoMkuu naelewa sana labda tu ka ukweli kamoja kwangu ni kwamba katika uzoefu wangu wa mahusiano, mahusiano yangu bora kabisa ni yale ambayo nilikutana na binti online, haya ambayo tunakutana tunasema tunajuana yote magumashi tu
Okay, katika majobu mengi hapa yanaonyesha kwamba kimsingi love starts anywhere. Ila nina wasiwasi kidogo na utekelezaji wa haya kwasababu kuna vitu tumejijengea akilini mwetu ambavyo kuvibreak inakuwa vigumu sana ingawa kama nilivyosema kusema kwa mdomo is easy.
Kwa mfano mi naenda club mara chache sana (could be 2 or 3 times a year lakini nikaenda katika hizo mara tatu nikakutana na binti nikavutiwa naye na baadae tukawa wapenzi na kuendelea. Hivi kwa kawaida yale mawazo ya where i met her and what kinda person she could be yanapotea kirahisi?
Mkuu sijasema kwamba kwenye mtandao ndio sehemu ambayo mi naamini unaweza kukutana na mtu wako na tena kwa siku hizi naamini ndio sehemu ambayo you can find urongo mwingi perhaps kuliko sehemu nyingine zote. Nimesema kwa experience yangu na mahusiano ambayo nimewahi kuwa nayo, mara moja nimewahi kukutana na mtu online na kwa bahati ndio mahusiano yangu bora niliyowahi kuwa nayo tofauti na yale niliyoyaanzisha huku mtaani na watu ninaowajua vizuri na wao kunijua vizuriM'Jr hiyo ni imani yako na matarajio yako
Kwangu inaweza isifanye kazi na nikaiona ya ajabu sana
May be kwangu isifanye kwa kuwa siamini sana hizo mambo za mtandao
Na kwa kuwa umeiamini kwako wewe unafikia ni best plece to meet with your lovely ones
Ila kwangu naamini sehem yoyote waweza kumpata mwenzi wako na inaweza ikawa tuu coincidence kukutana na huyo mtu ila akawa ndio mwenyewe
Unaweza kummwagia mdada maji ukiwa na gari kwa bahati au chakula hotelini au ukadondosha files zake au ukamgonga kwa bahati mbaya sehem mbaya na akawa ndiye mtarajiwa wako
huwezi ukapredict mkuu kuwa utakutana na mtarajiwa wako wapi
Okay that brings us to another sub topi, what exactly are we supposed to look when we choose our partners (lovers)Kwa sababu ana quality ambazo u want and may be u were looking for
it doesnt matter mlikutana club ila ana kila kitu unachotaka why the hell ufikirie ulikutana nae wapi
kwani club hawaendi watu wastaraabu
Mkuu sijasema kwamba kwenye mtandao ndio sehemu ambayo mi naamini unaweza kukutana na mtu wako na tena kwa siku hizi naamini ndio sehemu ambayo you can find urongo mwingi perhaps kuliko sehemu nyingine zote. Nimesema kwa experience yangu na mahusiano ambayo nimewahi kuwa nayo, mara moja nimewahi kukutana na mtu online na kwa bahati ndio mahusiano yangu bora niliyowahi kuwa nayo tofauti na yale niliyoyaanzisha huku mtaani na watu ninaowajua vizuri na wao kunijua vizuri
Dah kaka unajua mara nyingi tunadanganyana kwamba tunajua lakini in real hatujuani. Kuna kujuana mkiwa nje ya mahusiano na kuna kujuana mkiwa ndani ya mahusiano, they are two different kujuana na ndio maana unaweza kuwa na rafiki wa ike kama rafiki kwa muda mrefu bila kugombana lakini the moment mnapoamua kuwa wapenzi the next day mnaanza ugomviUJUE MKUU ONLINE MNADANGANYANA SANA.WANAO KUJUA,WANAKUJUA IN AND OUT.NDIO MAANA INAKUWA NGUMU KUDUMU NAO.HAO WA MTAANI.LAKINI WA ONLINE HAKUJUI VIZURI PIA WEWE HUMJUI.KWA HIYO KUMWAMBIA UONGO NI RAHISI SANA.NA HUDUMU OFFCOURSE BUT PINDI MUDA MTAKAPO JUANA UNDANI WENU.HAPO MAFARAKANO HUANZA.NA MNAKUA MMEPOTEZEANA MUDA.SIKU MKIWA MKE NA MUME..HEHEHHE..SHUGHULI ZINAANZA..KUMBE WEWE UKO HIVI?NA WEWE MBONA ULINIDANGANYA HIVI.kUJUANA NI MUHIMU SANA.WELL KAMA ILIKUSAIDIA NI VIZURI.
LAKINI CHAKUSHANGAZA,WHY MNAE JUANA NAE VIZURI..INAKUA NGUMU KUELEWANA???..JUST CURIOUS..:israel:
Mkuu sijasema kwamba kwenye mtandao ndio sehemu ambayo mi naamini unaweza kukutana na mtu wako na tena kwa siku hizi naamini ndio sehemu ambayo you can find urongo mwingi perhaps kuliko sehemu nyingine zote. Nimesema kwa experience yangu na mahusiano ambayo nimewahi kuwa nayo, mara moja nimewahi kukutana na mtu online na kwa bahati ndio mahusiano yangu bora niliyowahi kuwa nayo tofauti na yale niliyoyaanzisha huku mtaani na watu ninaowajua vizuri na wao kunijua vizuri
Okay that brings us to another sub topi, what exactly are we supposed to look when we choose our partners (lovers)
"kitandani mkuu"kumekuwa na mijadala mingi ya kuwa ni sehemu gani hasa ambayo unaweza kukutana na mtu ambaye huenda akaja kuwa mke/mume. Katika mjadala huo kumekuwa na misemo mingi baadhi yake ikiwa;
utakapokutana na mke wako ndipo mtakapoachania (kama ni baa then mtaachania baa)
mke/mume mwema hutoka kwa mungu nk.
Katika mapinduzi ya teknolojia nayo yameibua njia nyingine mpya ya kukutana kwa watu na baadae kuanzisha mahusiano, mtandao. Njia hii imekuwa inasemwa sana kwamba mahusiano yake huwa hayaaminiki sana (dhana hii imewekwa na wahusika wenyewe) hivyo kusababisha mahusiano mengi yanayoanzishwa na njia hii kuwa ya muda mfupi or "oneoff"
sasa hebu tuambizane kidogo kwa mitizamo yetu ni wapi hasa au njia ipi ukikutana na mtu huko then anaweza kuwa mume/mke mwema.....
Hahahaaa nakubaliana na wewe kwa hilo kaka, siku moja tulikuwa na mjadala wa vigezo vinavyotumika kusema huyu ni mrembo wa dunia wakati hakuna universal definition ya uremboYou have your choice, flavour and character and i have mine
hazitokaa zifanane mkuu
Mimi naweza kuwa napenda kitu ambacho wewe kwa vigezo vyako huoni kama ni cha muhimu na wewe the same
Ngoja nikuambie kitu kimoja
Padri alimuuliza Bwana Harusi ni kitu gani umempendea Bibi harusi wako mpaka ukamleta hapa unataka kufunga nae ndoa
Bwana Harusi alitoa tuu jibu jepesi kuwa "hajui" na lilikuwa jibu bora sana kwa maelezo ya padri
Mkuu tunaweza maliza siku nzima tunajadiliana ni nini haswa kinachonipeleka kwa dada fulani na tusiwe na mwafaka
Dah kaka unajua mara nyingi tunadanganyana kwamba tunajua lakini in real hatujuani. Kuna kujuana mkiwa nje ya mahusiano na kuna kujuana mkiwa ndani ya mahusiano, they are two different kujuana na ndio maana unaweza kuwa na rafiki wa ike kama rafiki kwa muda mrefu bila kugombana lakini the moment mnapoamua kuwa wapenzi the next day mnaanza ugomvi
Hahahaaa nakubaliana na wewe kwa hilo kaka, siku moja tulikuwa na mjadala wa vigezo vinavyotumika kusema huyu ni mrembo wa dunia wakati hakuna universal definition ya urembo
Nooo i didnt say online is best for me hapana kabisa tena i dont trust online kabisaaaaaaaCorrectly...but kwa nini pindi mkiwa wapenzi tu mgombane??.kuna vitu ulimficha na kuna vitu alikuficha katika urafiki wenu na pindi akija gundua na wewe ukigundua katika kipindi cha kuwa wapenzi.Trust inamuisha.So,ni bora umfahamu mtu mkuu.Mambo ya kuhide vitu huishia pabaya sana.Am telling you this from my experience.Well,if online is best for u.Thats gud.But kuweni wawazi.Labda kama ni flirting tu.:flypig:
Kaka thats a very big mystery of Gods creation aseeYeah mkuu ni ngumu kwako sifa zako na zangu kwa mrembo nimtakaye ni vitu viwili tofauti
Na hatutokaa tufanane
Angalia hata identical twin wao nao hata wakichagua wapenzi wao bado kila mmoja anakuwa na uchaguzi wake
Ni topic ndefu sana na inayohitaji maelezo mengi na ubishi kwani kila mmoja aanataka kitu ambacho mimi na wewe tutatofautiana
You have made my day asee!Mi nilikutana naye jalalani kwenye kutupa uchafu alivyomwaga uchafu wake nikagundua tunaendana kwa vingi
1. ndala alizotupa zilikuwa zimeisha na kubakia unene wa A4 nikaona huyu anafaa katika resource mangement.
2. Mchicha ilikuwa imebaki mizizi tu ina maana amekula mpaka gome nikaona she is good in kubana matumizi.
3. chanuo la nywele lilikuwa limebakiza meno mawili tu nikaona akiwa wife kuna vitu hata wajukuu watatumia
4. Mifupa ya nyama ilikuwa clean kama iko kwenye display museum
kwa kifupi alivyotupa taka nzi wote jalalani waliondoka kwa kufyonza kuwa hakuna ulaji.. Sasa ndoa yetu inaingia mwaka wa saba na tunajenga ghorofa kariakoo kwa mishahara yetu ya kima cha chini..