Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Kwa ubora wa Shuke peleka mwanao Catholic Schools.....Wahi
maana form zilianza tolewa miezi ya mwanzoni....
Ngoja nikutajie baadhi
Precious Blood Arusha
Notre Dame Arusha
Marian Pwani
St. MaryGoret Kilimanjaro
Anwarite Kilimanjaro
Kibosho Girls Kilimsnjaro
Visitation Kilimanajaro
Kandoto Science Kilimanjaro
Kifungilo Tanga
Rosmin Tanga
Kuna shule nzuri pia hapa Dar inaitwa BRIGHT FUTURE GIRLS' SECONDARY SCHOOL. Shule hii inatoa elimu bora sana, ni shule mpya lakini imeanza kwa kasi sana maana inajua kunaushindani hivyo inajitahidi kuhakikisha inatoa huduma bora ya kipekee sana.
Ahsante sana mkuu
Shule ipo manispaa ya ilala,kata ya msongola mtaa wa mbondole. Ada yake ni mil2.8
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nashukuru kaka mkubwa
Usijaribu precious blood
Wakuu! Naomba kujuzwa Shule ya wasichana iliyopo mkoa wowote ambayo inafaa kwa wasichana kimaadili na Elimu bora, itakuwa vema zaidi kama mtanijuza na viwango vya Ada
Usijaribu precious blood
shule nzuri ni kichwa chako
Usijaribu precious blood