Ipi ni Shule nzuri ya wasichana ya A-Level mkoa wa Moshi?

Chigwiyemisi

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
531
Reaction score
228
Wadau heshima kwenu,

Naomba msaada kwa mtu anayejua shule nzuri ya Private kwa wasichana ya "A" level. Napenda iliyoko Moshi au Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla. Kama kuna mwenye mawasiliano na Shule ya St. Mary Goreti au Anuarite naomba aniwekee hapa tafadhali.
 
Anuarite Huyu ni Mkuu wa shule 0754 023 829
St. marry Goreti 0754 096032

Wasiliana nao kwa heshima Siunajua hao ni headmistress Pia ni ma sisters (watu ambao hawajawahi kukutana kimwili/kingono na mwanaume)

Salamu yao TUMSIFU YESU KRISTO anajibu ndo unaanza kueleza shida zako!
 

Asante mkuu, pamoja na kwamba umenichekesha sana..
 
Moshi sio mkoa wewe....Moshi ni wilaya,na ipo mkoa wa Kilimanjaro
 
Mkoa wa moshi au wilaya ya moshi mdau?
 
hamna shule nzuri, akili ya mtu ndio kila kitu. mpeleke serena hotel kama wataka vizuri
 
Mkoa wa Moshi tangu lini?.
 
Kwa kilimanjaro mimi ninaipa nafasi nzuri MASAMA girls kwa shule za wasichana Advance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…