mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,065
- 365
Nina mdogo wangu wa miaka 9 kwa sasa anasoma st magreth kimara bweni, tatizo haipendi hiyo shule na anataka tumhamishe, so nilikuwa naomba kujua shule nyingine nzuri ambayo ni ya bweni na ina mazingira mazuri kwa watoto kwa hapa dar.......nitashukuru sana nikipata na adrres au contacts za shule.....natanguliza shukrani zangu
anasoma darasa la ngapi kwanza??
Kabla sijatoa wazo, naomba niulize sababu za kupeleka mtoto chini ya miaka 13 boarding school.
Js mie nina shida hiyo hiyo na mwanangu ni msichana anaingia darasa la nne, kama una ushauri tafadhali, hivi sasa anasoma St, Anne Marie Kimara lakini nahitaji kumuhamisha