Ipi ni soundtrack yako kali kwenye movie au series ulizowahi kuangalia?

Ipi ni soundtrack yako kali kwenye movie au series ulizowahi kuangalia?

mimi napenda themes za villains, zile nyimbo wanapiga wakati jambazi anafanya yake

zipo nyingi ila hapa nimeikumbuka ile ya lockdown-villain wa transformer 4
 
Sound Track ya GOT na PRISON BREAK.

NI NOMAH!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Savin me ya nickelback kwenye movie ya the condemned aloigiza steve austin na na vin jone
 
Back
Top Bottom