Ipi ni starehe yako kubwa pale unapokuwa umepumzika??

Kunywa maji ya moto yenye limau pilipili kitunguu swaumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukinikuta nimetulia zangu skani unanikuta napuliza Cuba cigarette, nikikosa hela ya kuangiza mzingo unanikuta napuliza zangu mjani wa Chuga
 
classic music ikiwa in low voice ili nisi disturb raia 😊
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Romantic, paranormal novels Hadi kichwa kinauma then nalala,nikiamka nile chakula kizuri afu nicheze games za kitoto afu nalala tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…