Ipi ni stendi yako bora ya mabasi kwa Tanzania?

Ipi ni stendi yako bora ya mabasi kwa Tanzania?

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,

Kwa wale mnaopenda kusafiri kama mimi, nitajie stand/bus terminals zako bora ulizoziona.

Binafsi nimezipenda bus terminals za Kange -Tanga Mjini na Mangaka-Nanyumbu.

Picha zinaongea ya kwanza Kange na ya pili Mangaka. 👇
Screenshot_20221203-132232.png
Screenshot_20221204-133540.png
 
Arusha, Moshi kawaida tu..
Arusha hakuna stand bali kuna mkusanyiko wa magari ya mkoani.

Moshi kwa kweli wanaongoza kwa standi kongwe nzuri japo imepitwa na wakati lkn walitangulia kujenga
 
Mpk sasa bado sijaona kama msamvu morogoro, magufuli terminal ni ya kawaida sana.
 
Bukoba bus Terminal...
Arusha bus Terminal
Makumbusho bus terminal
Tegeta nyuki bus Terminal
 
Back
Top Bottom