ipi ni transaction id ya mpesa kwenda heslb

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
nimeapply hesslb mpesa wakatuma hii sms k61ud233 imethibitishwa tshs 5000 imetumwa kwa heslb kwenye akaunt number 234561234 sasa je ipi kati ya hizo namba ni transaction id
 
nimeapply hesslb mpesa wakatuma hii sms k61ud233 imethibitishwa tshs 5000 imetumwa kwa heslb kwenye akaunt number 234561234 sasa je ipi kati ya hizo namba ni transaction id

ni hiyo K61UD233 ndio transaction ID kumbuka kua hizo herufi ziko katika mfumo wa herufi kubwa sio ndogo
 
kwan mara ya kwanza ulitumia zipi, had ikushnde kwenye kuapeal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…