Ipi ni Utility Car?

Ipi ni Utility Car?

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Nawasalimu wadau. Nipo katika mchakato wa ku-Import used SUZUKI CARRY 2TON ya mwaka 1990. Hivi gari kama hili ni utility au non utility? Na ni kweli kwamba Utility car haina import duty?
 
Back
Top Bottom