Ipi ni vita ngumu kuishina

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
wanaume zaidi ya wawili wanao mng'ang'ania demu mmoja

vs

wanawake zaidi ya mmoja wanao mng'ang'ania mwanaumme mmoja.


Usiku mwema.
 
wanawake wawili wanaomng'ang'ania mwanamume mmoja!
 
aaaah suala ni maamuzi tu
 
duh, haah haaah hiyo vita kama gadaf kung'ang'ani libya
 
Ngumu ni ya wanaume zaidi ya wawili wanaomng'ang'ania demu mmoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…