simplemind JF-Expert Member Joined Apr 10, 2009 Posts 16,418 Reaction score 9,209 Apr 1, 2016 #1 Ni njia ipi nyepesi na ya uhakika kwa kijana aliyemaliza chuo kutajirika hapa hapa Tanzania. Angalizo: Njia halali kisheria tu.
Ni njia ipi nyepesi na ya uhakika kwa kijana aliyemaliza chuo kutajirika hapa hapa Tanzania. Angalizo: Njia halali kisheria tu.
B bullion JF-Expert Member Joined Aug 23, 2014 Posts 309 Reaction score 112 Apr 1, 2016 #2 simplemind said: Ni njia ipi nyepesi na ya uhakika kwa kijana aliyemaliza chuo kutajirika hapa hapa Tanzania. Angalizo: Njia halali kisheria tu. Click to expand... Ukikomaa kwenye ndoto yako
simplemind said: Ni njia ipi nyepesi na ya uhakika kwa kijana aliyemaliza chuo kutajirika hapa hapa Tanzania. Angalizo: Njia halali kisheria tu. Click to expand... Ukikomaa kwenye ndoto yako
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,167 Reaction score 5,613 Apr 2, 2016 #3 Hakuna njia rahisi. Zote ni ndefu na zina magumu mengi. Ukisikia mtu anakueleza habari za kutajirika haraka mwogope kama ukoma.
Hakuna njia rahisi. Zote ni ndefu na zina magumu mengi. Ukisikia mtu anakueleza habari za kutajirika haraka mwogope kama ukoma.
Mtangoo JF-Expert Member Joined Oct 25, 2012 Posts 6,167 Reaction score 5,613 Apr 2, 2016 #4 bullion said: Ukikomaa kwenye ndoto yako Click to expand... bado kukomaa sio guarantee utafanikiwa
Madwari Madwari JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 1,825 Reaction score 3,085 Apr 2, 2016 #5 Komaa ndugu,usiige maisha ya mtu live your life na mwisho ujiulize utawasaidiaje uwapendao i.e wazazi sio watakusaidiaje ? Unapoona hauombi misaada kwa wazazi na ndugu jua utajiri upo karibu
Komaa ndugu,usiige maisha ya mtu live your life na mwisho ujiulize utawasaidiaje uwapendao i.e wazazi sio watakusaidiaje ? Unapoona hauombi misaada kwa wazazi na ndugu jua utajiri upo karibu
dafity JF-Expert Member Joined Aug 16, 2008 Posts 1,858 Reaction score 2,059 Apr 2, 2016 #6 Anzisha TIBA MBADALA (Sanitarium Clinic) wengi wanaotembea njiani ni wagonjwa, your potential customers!
Anzisha TIBA MBADALA (Sanitarium Clinic) wengi wanaotembea njiani ni wagonjwa, your potential customers!