Mwambie akutumie kwa TIGO PESA kupitia https://www.worldremit.com/dola 300 kiasi nnachoenda kuchukua ni 615,300
Mkuu Mwl.RCT nina pesa kidogo India. Naweza tumiwa kwa njia hii bila makato makubwa? Na vipi kule anadeposit pesa wapi? Au anaenda kutuma kwenye ofisi za hao Worldremit?Mwambie akutumie kwa TIGO PESA kupitia https://www.worldremit.com/
wana limit ya kiasi cha pesa??Kama yupo US au Europe mwambie atumie Wave.com utapata pesa in a minute kwenye Mpesa au Tigo Pesa.
Hii service ni bure. Hakuna makato
The company makes money kwakutumia tofauti ya exchange rates.
Their service is simply the BEST.
Im using the service myself for years now.