korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
Uliowaonesha invoice ulionunulia?
..dah, kweli mkuu, ujue nshamiliki one plus na saiv OPPO. Zote made in India, nikajua sio za kichina, kumbe zinatengenezwa na mchina ambaye ana kiwanda pia IndiaDuuuh mkuu umetoa boko
..poleni kwa nliowalisha "sumu"...😊😊..dah, kweli mkuu, ujue nshamiliki one plus na saiv OPPO. Zote made in India, nikajua sio za kichina, kumbe zinatengenezwa na mchina ambaye ana kiwanda pia India
Hakuna nzuri apoWadau naomba mnijuze,
Je, ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
Dah sio mtu wa fedex huyo,Sababu nilipigiwa simu na mtu wa fedex akaniambia kuna gharama kma 200000 hvi, so nimtoe hyo 1laki amalize kila kitu, sasa sababu nilishakata tamaa sikutaka kufikiria mara 2 maana nilishapanga niiache kabla haijatumwa bongo
Dah sio mtu wa fedex huyo,
Niliwahi Pata simu kama hio, nikawapigia wa husika wakanielezea.
Huyo ni agent wa clearing and forward, mzigo ukifika airport wa naona, wanapiga namba yako na kukutisha, ukiwa tumia hela wanalipa kinachobakia ni Chao cha juu.
Walikufanyia na free delivery sio?
Hawa jamaa wanakera sana, na sijui kwanini haya makampuni yanaruhusu mzigo 3rd party akuletee nyumbani.Daaaaah!! Aisee washanipiga, yeeaah walinifanyia na free delivery kabisa
Hawa jamaa wanakera sana, na sijui kwanini haya makampuni yanaruhusu mzigo 3rd party akuletee nyumbani.
Next time komaa, chukua bei ya mzigo, zidisha kwa 1.18, bei utakayopata toa hela ya mzigo, kinachobakia ndio kodi.
Kwa soundbar ya dola 60 kodi ni Around 27,000
oppoWadau naomba mnijuze,
Je, ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
Kwa sasa ni Xiaomi redmi note 9s.
Sema subiria kama wiki hivi redmi note 10 pamoja na Samsung galaxy A52 4g zinatoka muda si mrefu.
Na huo ukaaji chaji unataka ule wa kutumia siku nzima halafu usiku una chaji ama unataka simu inayokaa na chaji kwa siku kadhaa?
Chukua realme 5i by far Ndio inakaa na chaji sana lakiniNataka ikae na charge siku kadhaa
Kwa sasa ni Xiaomi redmi note 9s.
Sema subiria kama wiki hivi redmi note 10 pamoja na Samsung galaxy A52 4g zinatoka muda si mrefu.
Na huo ukaaji chaji unataka ule wa kutumia siku nzima halafu usiku una chaji ama unataka simu inayokaa na chaji kwa siku kadhaa?
I hope bei watashusha kidogo sababu kutakuwa na version mbili A52 ya 5G na A52 ya 4g, hivyo ya 5g iwe hio laki 7 kupanda na ya 4g ishuke kidogo.hii sumsung a52 4g ndo itakuwa inauzwa kwa hiyo budget ya 550000? maana nmechungulia spec kidgo zimechangamka
I hope bei watashusha kidogo sababu kutakuwa na version mbili A52 ya 5G na A52 ya 4g, hivyo ya 5g iwe hio laki 7 kupanda na ya 4g ishuke kidogo.
Sory sijakuelewa sheikhe , kidogo item yoyote inabid nichukue kiasi cha pesa ya manunuzi ndio nizidishe na hio namba au nigawanyeHawa jamaa wanakera sana, na sijui kwanini haya makampuni yanaruhusu mzigo 3rd party akuletee nyumbani.
Next time komaa, chukua bei ya mzigo, zidisha kwa 1.18, bei utakayopata toa hela ya mzigo, kinachobakia ndio kodi.
Kwa soundbar ya dola 60 kodi ni Around 27,000
Una zidisha na kutoa.Sory sijakuelewa sheikhe , kidogo item yoyote inabid nichukue kiasi cha pesa ya manunuzi ndio nizidishe na hio namba au nigawanye
Maandamano tuu, mwanzo mwisho😎Hawa jamaa wa infiniix, tecno, itel, kgtel, X-Tigi & co. Sijui tuwaambie vipi watuelewe[emoji53][emoji53][emoji53]
Umemaanisha reno 5? Kama ni version ya sd 765G hio Reno 5 ipo vizuri zaidi.vipi mkuu tofauti ya OPPO Rero 5 na A52 4g n nn au ipi iko juu ya mwenzie (speed,performance,display na camera)
Xiaomi uwe na budget ya laki 4 kuendelea ndio uta enjoy. Laki 4 hvi kuna Redmi Note 8. Lakin 2 utapata matatzo tu labda ununue model ya zamani kdg ndio itakua vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app