Ipi nzuri kati ya Kluger na Forester?

Highlander na kluger ni gari moja boss sema highlander ni kwaajili ya soko la ulaya na America na wala sio new model. Ni kama harrier old model na Lexus rx300 old. Asante
Ok sawasawa,ila nime maanisha new model ila hiz old model shep yake inakinaisha sio km Rav 4,je kwa jina la kruger ipo new model yake kwa jina hilo
 
Subaru ni 4wd fulltime
 
Kile kiti cha dereva cha Subaru ni msalaba!🚶🚶🚶
Nimepitia huu uzi naona mkuu utakua unaongelea bucket seats

Hizi seat zinatumika kwenye race cars kuzuia body movement and mostly are aftermarket...
Naona hio subaru ilitoka japan na hizo seats maana sijui ni ipi unaongelea ila mpaka SH5 forester hamna yenye bucket seats stock installed
 
Ishu sio hizo Recaro seats! Subaru forester it feels low ukikalia kiti cha dereva compared na gari zingine of the same class. Panda Grand Escudo utajiona kweli umekalia gari ya juu, panda vanguard the same feel ila subaru ni kama bado tu umekaa katika gari ya chini tu
 
Highlander na kluger ni gari moja boss sema highlander ni kwaajili ya soko la ulaya na America na wala sio new model. Ni kama harrier old model na Lexus rx300 old. Asante
Jamaa kazungumzia 2nd Generation ile iko vizuri sana.
Kama hio hapo..

Kisha kuna hii 3rd generation


Facelift yake ya 2016

Can’t compare to same year subaru cause Subaru looks ugly!
 
CC:Extrovert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…