southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
salaam.wakuu. Naombeni ushauri ni ufundi gani upo vizuri kwenye kipato kati ya kuwa fundi wa kutengeneza magari upande wa umeme wa magari na uchomeleaji(welding).
asante mkuuVyote ni furusa tu ikitokeza upande uliopo unapiga pesa. But jifunze umeme wa magari.
nitajifunzaje vyote kwa pamojaFanya vyote...
asante mkuu kwa ushauriKwa jobless Uchomeleaji ni mzuri maana hutalala njaa. Ufundi magari unachukua muda kujenga jina na kuaminika, Hadi mtu akuamini akuachie gari lake utengeneze ni Hadi uishi vizuri na mafundi wakongwe ili wakutambulishe
sawa mkuu
Chukua umeme wa magari na ubobee.Salaam wakuu.
Naombeni ushauri ni ufundi gani upo vizuri kwenye Kipato kati ya kuwa fundi wa kutengeneza magari upande wa umeme wa magari na uchomeleaji(welding)?.