Ipi nzuri kwenye rough road kati ya gari aina ya Mitsubishi Outlinder na Subaru Forester za mwaka 2009

Ipi nzuri kwenye rough road kati ya gari aina ya Mitsubishi Outlinder na Subaru Forester za mwaka 2009

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
830
Reaction score
1,046
Hizi gari zote mbili nazipenda sana kwa mwonekano na hata ground flour yake iko vizuri but Naomba kujua ipi ni nzuri kwenye Rough road.

Inayo perform vizur
Stability yake
Durability yake

Endapo nikitaka kuiuza hapo baadae je inauzika.

Matumizi ya Long safari mfano Dar to Kigoma.

Cc? zake. Eg. Subaru forester Xt with turbo ina 2500cc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa suala la stability I can't say kwa sababu siijui vizuri mitsubishi.. Ila kwa Durability, Long safari pamoja na kuuza huko mbeleni Forester inachukua nafasi ya juu.

Japo Forester yenye turbo na cc 2500 ina kula zaidi kuliko mitsubishi ambayo pia ina cc almost 2500 pia.

Ila I would definitely go for Subaru as am in process now za kuiagiza soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitsubishi Outlander ni gari ngumu na imara zaidi ya foresta hata upatikanaji wa spare parts zipo tu.

Pia baadhi ya spare parts za Mitsubishi kama fan belt,timing belt na hotineta zinaingiliana na Subaru forester yaani Kwa kifupi haya Magari yanafanana Kwa ukaribu

Kama utahitaji gari yenye performance kubwa na inayochanganya mapema basi chukua Subaru kwasabb mitsubishi outlander ni DIESEL kama sikosei na Subaru forester ni petrol.
 
Hizi gari zote mbili nazipenda sana kwa mwonekano na hata ground flour yake iko vizuri but Naomba kujua ipi ni nzuri kwenye Rough road.

Inayo perform vizur
Stability yake
Durability yake

Endapo nikitaka kuiuza hapo baadae je inauzika.

Matumizi ya Long safari mfano Dar to Kigoma.

Cc? zake. Eg. Subaru forester Xt with turbo ina 2500cc

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa kuweka rekodi sawa tu, sio kila Subaru XT ni cc2500. Zipo nyingi tu za cc2000
Nadhani kuna versions hasa za marekani na ulaya ndio zipo nyingi za cc2500.
Ningeshauri Subaru kwa sababu tu ya reliability na spare na mafundi wapo sasa hivi. Siijui kabisa kuhusu mitsubishi ila ninajua kiasi kuhusu ubira wa Subaru. Safari ipo, ubora upo, stability ndio kwao hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wameeleza vzr hapo juu ila ikija kwny suala la kuuza huko mbeleni jiandae kulia kilio cha mbwa mwizi maana wabongo tumezoea toyota tu.

Outlander kuiuza ni kimeo,Forester kuiuza nayo ni mziki pia bora ingekua STI au WRX machalii wa Arusha wangeweza kuichangamkia chap.
 
Haya magari yote ni mazuri,ila changamoto inakuja kwenye madhumuni binafsi!ikiwa unataka kulinunua ukae nalo muda mfupi uuze hakika lazima mtu ajiandae kisaikolokia kuuza Kwa mateso na hasara.
Ushauri wako ni 100% true.
 
Mitsubishi Outlander ni gari ngumu na imara zaidi ya foresta hata upatikanaji wa spare parts zipo tu.

Pia baadhi ya spare parts za Mitsubishi kama fan belt,timing belt na hotineta zinaingiliana na Subaru forester yaani Kwa kifupi haya Magari yanafanana Kwa ukaribu

Kama utahitaji gari yenye performance kubwa na inayochanganya mapema basi chukua Subaru kwasabb mitsubishi outlander ni DIESEL kama sikosei na Subaru forester ni petrol.
Outlander sio diesel mzee 😝 ni umeme wa Petrol ule na zipo hadi V6 zake.
 
Kama unawaza kuuza nunua toyota utaiuza kwa bei karibu sawa na bei ya japan na mnunuzi atamlipa dalali.
 
Hizi gari zote mbili nazipenda sana kwa mwonekano na hata ground flour yake iko vizuri but Naomba kujua ipi ni nzuri kwenye Rough road.

Inayo perform vizur
Stability yake
Durability yake

Endapo nikitaka kuiuza hapo baadae je inauzika.

Matumizi ya Long safari mfano Dar to Kigoma.

Cc? zake. Eg. Subaru forester Xt with turbo ina 2500cc

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Mzee aliekujengea nyumba baada ya kumpeleka Kwa mpalange ndio anakununulia na gari?
 
Kuna Uzi mmoja huyu dada alicomment kutetea kufukuliwa mtaro akasema umempa nyumba[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Mimi sidanganyi ushahidi upoo
Duh! Ila sidhani kama ni kweli, itakuwa changamsha genge. Ingawa pia inawezekana kama mpododo wake ni unique kiasi kwamba mtu akapagawa hadi kuonga ka mjengo. Chini ya jua lolote lawezekana
 
Natumae mleta mada ulipata muongozo...

Zote gari ila kati ya hizo Subaru inaafadhali...
 
Back
Top Bottom