Hizi gari zote mbili nazipenda sana kwa mwonekano na hata ground flour yake iko vizuri but Naomba kujua ipi ni nzuri kwenye Rough road.
Inayo perform vizur
Stability yake
Durability yake
Endapo nikitaka kuiuza hapo baadae je inauzika.
Matumizi ya Long safari mfano Dar to Kigoma.
Cc? zake. Eg. Subaru forester Xt with turbo ina 2500cc
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya magari yote ni mazuri,ila changamoto inakuja kwenye madhumuni binafsi!ikiwa unataka kulinunua ukae nalo muda mfupi uuze hakika lazima mtu ajiandae kisaikolokia kuuza Kwa mateso na hasara.Wadau wameeleza vzr hapo juu ila ikija kwny suala la kuuza huko mbeleni jiandae kulia kilio cha mbwa mwizi maana wabongo tumezoea toyota tu.
Outlander kuiuza ni kimeo,Forester kuiuza nayo ni mziki pia bora ingekua STI au WRX machalii wa Arusha wangeweza kuichangamkia chap.
Outlander sio diesel mzee 😝 ni umeme wa Petrol ule na zipo hadi V6 zake.Mitsubishi Outlander ni gari ngumu na imara zaidi ya foresta hata upatikanaji wa spare parts zipo tu.
Pia baadhi ya spare parts za Mitsubishi kama fan belt,timing belt na hotineta zinaingiliana na Subaru forester yaani Kwa kifupi haya Magari yanafanana Kwa ukaribu
Kama utahitaji gari yenye performance kubwa na inayochanganya mapema basi chukua Subaru kwasabb mitsubishi outlander ni DIESEL kama sikosei na Subaru forester ni petrol.
Yule Mzee aliekujengea nyumba baada ya kumpeleka Kwa mpalange ndio anakununulia na gari?Hizi gari zote mbili nazipenda sana kwa mwonekano na hata ground flour yake iko vizuri but Naomba kujua ipi ni nzuri kwenye Rough road.
Inayo perform vizur
Stability yake
Durability yake
Endapo nikitaka kuiuza hapo baadae je inauzika.
Matumizi ya Long safari mfano Dar to Kigoma.
Cc? zake. Eg. Subaru forester Xt with turbo ina 2500cc
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mpalange tena.. duh nomaYule Mzee aliekujengea nyumba baada ya kumpeleka Kwa mpalange ndio anakununulia na gari?
Kuna Uzi mmoja huyu dada alicomment kutetea kufukuliwa mtaro akasema umempa nyumba[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwa mpalange tena.. duh noma
Duh! Ila sidhani kama ni kweli, itakuwa changamsha genge. Ingawa pia inawezekana kama mpododo wake ni unique kiasi kwamba mtu akapagawa hadi kuonga ka mjengo. Chini ya jua lolote lawezekanaKuna Uzi mmoja huyu dada alicomment kutetea kufukuliwa mtaro akasema umempa nyumba[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mimi sidanganyi ushahidi upoo
Isipokua wewe tu 🤣🤣🤣JF kila mtu ana garii