Ipi pikipiki bora kati ya Tvs125 na Boxer

Ipi pikipiki bora kati ya Tvs125 na Boxer

kibumu

Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
45
Reaction score
91
Msaada wakuu nataka kununua pikipiki kwa ajili ya mishe zangu tu mjini hapa naombeni msaada ipi itanifaa kati ya boxer 125 na tvs 125
 
Msaada wakuu nataka kununua pikipiki kwa ajili ya mishe zangu tu mjini hapa naombeni msaada ipi itanifaa kati ya boxer 125 na tvs 125
Boxer 125,itakufaa zaidi,muonekano mzuri,na inanguvu zaidi ya TV's,inamwendo kuzidi tvs ,lakini pia inabalance kuzidi tvs,ukiwa kwenye mwendo mkubwa ukipishana na gar haikuyumbishi ukilinganisha na tvs,
,,Boxer itakufaa zaidi,

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom