Wadau ninekuwa natamani kununua bond za mda mrefu. Nina millioni 75, je ni njia ipi rahisi kununua hizo bond zinazolipa interest ya 15.49 hadi 15.90pct kwa mwaka?
Njia ya Moja kwa moja BOT naona ni ngumu kwa sisi amabao hatukai Dar na JIA ya upili siijui vizuri. Naomba mzoefu anishauli nini nawezafanya ili kupata bond za muda mrefu za serikali kwa kutumia njia hizo mbili?