Ipi sababu ya kibaiologia inasababisha walemavu wa akili kuwa na maumbile ya kiume makubwa ukilinganisha na watu wa kawaida?

We utakuwa unapigwa mambo na machizi sio bure. 😁
 
Juzi tu hapa niko kwenye daladala maeneo msikiti wa mgomeni stand za mwendokasi zinazoendelea kujengwa kuna jamaa huwa wanalala pembeni mule,gari imesimama kwenye foleni yule jamaa kakaa chini mashine la haja limekosa udhibiti halafu kageukia huku huku tuliko,gari zima kila mtu anajifanya anatype messageπŸ˜‰πŸ˜πŸ˜
 
kwaiyo umekubali kua nachosema kiko sahihi
 
Mimi nimefanya tafiti kabisa sio uongo,mwezi mchanga wengi wana miguu 3.kuna mmoja mpaka wamama wakawa wanamtunuku,ufala wake akilewa anakuwa kurugenzi ya mawasiliano ikulu😁😁
aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…