nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
Kuna barua inayosambaa kwenye mitandao yenye kichwa cha habari "GHARAMA ZA LESENI KWA WASAFIRISHAJI WA VIFURUSHI, VIPETO NA NYARAKA "
Kama nilivyonukuu imetolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Sina tatizo na hizo gharama, bali ni JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA au JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA?