Ipi Sahihi: Naibu wa Spika au Naibu Spika?

Ipi Sahihi: Naibu wa Spika au Naibu Spika?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Ninaposikiliza majadiliano bungeni baadhi ya wabunge husema: "Mh Naibu wa spika........"
na wengine "Mh Naibu spika......."
Ni addressing ipi kati ya hizo ni sahihi? Mimi nilifikiri Naibu spika ndio sahihi.
 
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizasa

Makamu Wa Rais

Naibu Waziri wa Nishati
Naibu Spika wa Bunge
 
Neno Naibu spikaasil yake ni Naibu wa spika ambalo limefanyiwa mabadiliko ya kimaumbo ktk umbo la ndan na kuondolewa "wa" hvyo kubaki 'Naibu spika' ambalo ni neno moja.
Michakato hii ya kubadili maumbo au matamshi katka umbo la nje hulenga kurahisisha matamsh ktk lugha, kwa hali hyo "Naibu spika" ni sahihi. Pamoja na hayo kuna maneno mengne hayawez kugeuzwa (vigairi) endapo yakigeuzwa huharb/hupoteza maana mf.
1.Makam wa polis (makam polis×)
2. Makamu wa Rais (makamu rais ×)
 
Back
Top Bottom