Neno Naibu spikaasil yake ni Naibu wa spika ambalo limefanyiwa mabadiliko ya kimaumbo ktk umbo la ndan na kuondolewa "wa" hvyo kubaki 'Naibu spika' ambalo ni neno moja.
Michakato hii ya kubadili maumbo au matamshi katka umbo la nje hulenga kurahisisha matamsh ktk lugha, kwa hali hyo "Naibu spika" ni sahihi. Pamoja na hayo kuna maneno mengne hayawez kugeuzwa (vigairi) endapo yakigeuzwa huharb/hupoteza maana mf.
1.Makam wa polis (makam polis×)
2. Makamu wa Rais (makamu rais ×)