Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wanaume wapuuzi sana, wana tabia za kike.Habari zenu ndugu zangu, Jambo linanitatiza ni kwamba ukimkuta mtu anafanya kazi au ndo ametoka kufanya kazi, neno gani lafaa zaidi kumwambia kati ya POLE na/au HONGERA
Nawasilisha
Jibu lako wewe ni lipi?Habari zenu ndugu zangu, Jambo linanitatiza ni kwamba ukimkuta mtu anafanya kazi au ndo ametoka kufanya kazi, neno gani lafaa zaidi kumwambia kati ya POLE na/au HONGERA
Nawasilisha
Habari zenu ndugu zangu, Jambo linanitatiza ni kwamba ukimkuta mtu anafanya kazi au ndo ametoka kufanya kazi, neno gani lafaa zaidi kumwambia kati ya POLE na/au HONGERA
Nawasilisha
Ni kama kwenda kumtembelea MZAZI!Mm hutumia yote kwa wakati mmoja,."pole na hongera kwa kazi".
[emoji12] [emoji12]Ni kama kwenda kumtembelea MZAZI!