Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 430
- 61
wanajukwaa,
kati ya hizi sentensi mbili,ipi ndo sahihi, tunatakiwa kusema naibu mwenyekiti au makamu mwenyekiti au sentensi zote ni sahihi?