N Ngaramtoni JF-Expert Member Joined Sep 10, 2012 Posts 430 Reaction score 61 Aug 25, 2014 #1 wanajukwaa, kati ya hizi sentensi mbili,ipi ndo sahihi, tunatakiwa kusema naibu mwenyekiti au makamu mwenyekiti au sentensi zote ni sahihi?
wanajukwaa, kati ya hizi sentensi mbili,ipi ndo sahihi, tunatakiwa kusema naibu mwenyekiti au makamu mwenyekiti au sentensi zote ni sahihi?
manyeresa New Member Joined Aug 25, 2014 Posts 4 Reaction score 1 Aug 27, 2014 #2 Makamu mwenyekiti....
steveson manumbu JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 887 Reaction score 178 Sep 2, 2014 #3 haya maneno yana miktadha yake (context) .hivyo kwa hilo ni kuwa makamu mwenyekiti