Ipi salama/imara zaidi kati ya mpira wa kiume dhidi ya mpira wa kike?

MC Chere

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
586
Reaction score
400
Ni hivyo wandugu,mwenzenu nataka kujua utofauti wa uimara wa hizo zana.

Na kwa swali la nyongeza,ni kwanini hiyo mipira ya kike haipatikani madukani?
 
Uimara unachangiwa na brand. Pia nadhani ya kiume inakuwa salama zaidi kutokana na maumbile yetu. Ni rahisi kuitumia katika mazingira yoyote, especially, kwenye quickie situations. Na elimu kubwa imewekezwa pia kwenye mipira ya kiume na matumizi yake.

Binafsi sijawahi kuiona popote mipira ya wanadada tangu nimezaliwa. Na sifahamu chochote kuihusu.
 
Ni miaka 10 imepita sasa tangu nilipouona mpira wa kike kwenye kituo cha afya ambapo tulienda kwa kazi maalumu,sasa najiuliza ni kwa nini hazitangazwi sana kama ya kiume?
 
Tumia wa kiume mkuu.
Hiyo ya kike inaweza kukusababishia majanga kutokana na maumbile ya dada zetu.
 
Back
Top Bottom