Uimara unachangiwa na brand. Pia nadhani ya kiume inakuwa salama zaidi kutokana na maumbile yetu. Ni rahisi kuitumia katika mazingira yoyote, especially, kwenye quickie situations. Na elimu kubwa imewekezwa pia kwenye mipira ya kiume na matumizi yake.
Binafsi sijawahi kuiona popote mipira ya wanadada tangu nimezaliwa. Na sifahamu chochote kuihusu.