Ipi simu nzuri kati ya Poco F6 vs Xiaomi 13T

Wakuu naomba kujua simu ipi nzuri kati ya Poco F6 na Xiaomi 13T overall? Pia simu hizi mbili ukizilinganisha na Samsung Galaxy A54 na One Plus Nord 3 ipi ni bora zaidi katika hizi nne?
Priority zangu ni kamera, performance display, software support na ukaaji wa chaji na fast charging

Chief-Mkwawa
Reuben Challe
Naombeni mawazo yenu 🙏
Xiaomi 13T all around ni simu bora zaidi kushinda zote, F6 ni perfomance oriented ila haina feature nzuri kushinda 13T na A54 ina camera na display nzuri ila perfomance imeachwa mbali na hao wengine.

Kuongezea mkuu Cheki na Oneplus 12R ni flagship killer kali sana ila kama huwezi kuipata 13T si mbaya sababu nayo ni flagship material.
 
Tuwasubirie wataalam waje watutafsirie hizi data:

Kushoto 13T na Kulia F6

Za Lini?
Screenshot_20240701-195250.png

Display

Screenshot_20240701-195219.png

Performance

Screenshot_20240701-195230.png

Camera

Screenshot_20240701-195136.png

Selfie

Screenshot_20240701-195149.png
 
Ssa
Xiaomi 13T all around ni simu bora zaidi kushinda zote, F6 ni perfomance oriented ila haina feature nzuri kushinda 13T na A54 ina camera na display nzuri ila perfomance imeachwa mbali na hao wengine.

Kuongezea mkuu Cheki na Oneplus 12R ni flagship killer kali sana ila kama huwezi kuipata 13T si mbaya sababu nayo ni flagship material.
hizo simu zote umetaja hapo zipo Tanzania kweli pale kariakoo nazipata kweli ?!
 
Wakuu naomba kujua simu ipi nzuri kati ya Poco F6 na Xiaomi 13T overall? Pia simu hizi mbili ukizilinganisha na Samsung Galaxy A54 na One Plus Nord 3 ipi ni bora zaidi katika hizi nne?
Priority zangu ni kamera, performance display, software support na ukaaji wa chaji na fast charging

Chief-Mkwawa
Reuben Challe
Naombeni mawazo yenu 🙏
Hili swali peleka pale youtube utapata majibu mazuri sana zaidi pia nadhani toka kwa wale wanao compare simu youtubers.
 
Hapa naona Xiaomi kapigwa... camera, chipset, memory n.k

Hapo F6 ina UFS 4.0 internal storage wakati xiaomi ana 3.1, UFS 4.0 ni faster mara mbili ya UFS 3.1.

F6 ni latest zaidi kwa miezi 8 kuliko xiaomi.

Ningechukua F6.
 
Simu zote mbili zinatoka Xiaomi, unasemaje "Xiaomi kapigwa"
 
Hapo kwenye kipengele cha performance ndio pamuhimu zaidi wataalamu watupigie pindi la similarities & differences CHIEF MKWAWA na wanafunzi wake Reuben Challe
Hapa naona Xiaomi kapigwa... camera, chipset, memory n.k
Hapo F6 ina UFS 4.0 internal storage wakati xiaomi ana 3.1, UFS 4.0 ni faster mara mbili ya UFS 3.1.
F6 ni latest zaidi kwa miezi 8 kuliko xiaomi.
Ningechukua F6.
Tuwasubirie wataalam waje watutafsirie hizi data:

Kushoto 13T na Kulia F6

Za Lini?
View attachment 3030829

Display

View attachment 3030823

Performance

View attachment 3030825

Camera

View attachment 3030826

Selfie

View attachment 3030827

Ukiangalia perfomance wise ni kweli F6 ipo juu hilo halina shaka, ila mtoa mada ana vigezo vingine pia.

Angalia Camera main Camera ya 13T ni 1/1.28 ni camera yenye sensor kubwa aka flagship level compare na 1/1.95 ambayo ni camera ya kawaida level za kina redmi.

Si hapo tu ukiangalia secondary camera ya 13t ni telephoto, F6 haina Telephoto, hii ni zile lens ambazo mtu/kitu yupo km kadhaa unamvuta karibu na kutoa picha nzuri.

Hata ultrawide hapo unaona ya 13T ipo vizuri, kifupi 13T ni flagship level camera wakati F6 ni midrange level.

Pia 13T itakaa na chaji zaidi sababu soc yake ni more efficient hasa kwenye low load wakati F6 ukaaji chaji ni wa kawaida.

Fast charging F6 ipo vizuri zaidi sema utofauti si mkubwa sana.
 
Asante Sana Chief hapa nadhani mtoa mada kama mfuko unaruhusu aruke tu na hiyo 13T....hivi mkuu samahani, vipi Samsung S10 5g nayo ina telephoto ama
 
Xiaomi 13T inatiki vigezo vyako vingi

KAMERA
Ukitoa Xiaomi 13T hizo simu nyingine ulizotaja ziko accompanied na average 8MP ultrawide na 2MP macro cameras. Samsung A54 ina 12MP ultrawide na 5MP macro ila no telephoto camera. Xiaomi 13T inakuja flagship camera setup kati ya zote nne. Achilia mbali main kamera ya Xiaomi 13T kuwa nzuri kuliko nyingine zote hapo, Xiaomi 13T ina telephoto camera ambayo ni mara chache sana unakuta hizi kamera kwenye midrange na probably better ultrawide camera after all. Kama priority ni kamera hapo inaanza Xiaomi 13T, then Samsung Galaxy A54, then One Plus Nord 3, Poco F6 ya mwisho hapo.

PERFORMANCE
Poco F6 iko juu kuliko zote, Xiaomi 13T na One Plus Nord 3 zinafanana sana kwenye performance. Tofauti ya Poco na hizi simu mbili kwenye performance sio kubwa hata. Samsung Galaxy A54 ya mwisho hapo.

Display na ukaaji chaji Xiaomi 13T iko vizuri. Fast charging- POCO.

Software updates hizo simu zinafanana tu kasoro hiyo One Plus. Angalia, Xiaomi 13T ina Android 13 MIUI 14 na Samsung Galaxy A54 ina Android 13, One UI 5 zote zitapata 4 years of major Android updates na 5 years of security patches. Kwa hiyo ni 5 years na zinakufikisha Android 17.
Poco F6 ina Android 14, HyperOS na itapata 3 years major Android updates na 4 years security patches. Na hii itakifikisha Android 17 hadi HyperOS 5 kama tu Xiaomi 13T
One Plus Nord 3 ina Android 13, OxygenOS 13 na inapata 3 years of major Android updates na 4 years of security patches. Hii itakufikisha Android 16

Kingine angalia unapenda software ipi
Xiaomi (MIUI 14, HyperOS) na One UI zina features nyingi kuliko OxygenOS. OxygenOS haina mambo mengi na ina smoothest animations kuliko HyperOS na One UI. Zifuatilie ujue ipi itakufaa
 
Xiaomi 13T all around ni simu bora zaidi kushinda zote, F6 ni perfomance oriented ila haina feature nzuri kushinda 13T na A54 ina camera na display nzuri ila perfomance imeachwa mbali na hao wengine.

Kuongezea mkuu Cheki na Oneplus 12R ni flagship killer kali sana ila kama huwezi kuipata 13T si mbaya sababu nayo ni flagship material.
Shukrani mkuu. Hivi hiyo one plus 12r ni nzuri kuliko Xiaomi 13T pro au 13 plain. Naona bei zinafanana ni kama milioni 1.2 hivi
 
Sina uhakika Camera huenda imepitwa 12R ila ukaaji chaji, fast charging, perfomance, ipo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom