Luca Paguro
Member
- Mar 26, 2023
- 85
- 130
Xiaomi 13T all around ni simu bora zaidi kushinda zote, F6 ni perfomance oriented ila haina feature nzuri kushinda 13T na A54 ina camera na display nzuri ila perfomance imeachwa mbali na hao wengine.Wakuu naomba kujua simu ipi nzuri kati ya Poco F6 na Xiaomi 13T overall? Pia simu hizi mbili ukizilinganisha na Samsung Galaxy A54 na One Plus Nord 3 ipi ni bora zaidi katika hizi nne?
Priority zangu ni kamera, performance display, software support na ukaaji wa chaji na fast charging
Chief-Mkwawa
Reuben Challe
Naombeni mawazo yenu 🙏
hizo simu zote umetaja hapo zipo Tanzania kweli pale kariakoo nazipata kweli ?!Xiaomi 13T all around ni simu bora zaidi kushinda zote, F6 ni perfomance oriented ila haina feature nzuri kushinda 13T na A54 ina camera na display nzuri ila perfomance imeachwa mbali na hao wengine.
Kuongezea mkuu Cheki na Oneplus 12R ni flagship killer kali sana ila kama huwezi kuipata 13T si mbaya sababu nayo ni flagship material.
Hili swali peleka pale youtube utapata majibu mazuri sana zaidi pia nadhani toka kwa wale wanao compare simu youtubers.Wakuu naomba kujua simu ipi nzuri kati ya Poco F6 na Xiaomi 13T overall? Pia simu hizi mbili ukizilinganisha na Samsung Galaxy A54 na One Plus Nord 3 ipi ni bora zaidi katika hizi nne?
Priority zangu ni kamera, performance display, software support na ukaaji wa chaji na fast charging
Chief-Mkwawa
Reuben Challe
Naombeni mawazo yenu 🙏
We rudi EUROHzo ni simu kumbe
Hapo kwenye kipengele cha performance ndio pamuhimu zaidi wataalamu watupigie pindi la similarities & differences CHIEF MKWAWA na wanafunzi wake Reuben ChalleTuwasubirie wataalam waje watutafsirie hizi data:
Kushoto 13T na Kulia F6
Za Lini?
View attachment 3030829
Display
View attachment 3030823
Performance
View attachment 3030825
Camera
View attachment 3030826
Selfie
View attachment 3030827
Simu zote mbili zinatoka Xiaomi, unasemaje "Xiaomi kapigwa"Hapa naona Xiaomi kapigwa... camera, chipset, memory n.k
Hapo F6 ina UFS 4.0 internal storage wakati xiaomi ana 3.1, UFS 4.0 ni faster mara mbili ya UFS 3.1.
F6 ni latest zaidi kwa miezi 8 kuliko xiaomi.
Ningechukua F6.
Hupati labda mtu awe Kaleta mwenyewe anauza, labda hio A54.Ssa
hizo simu zote umetaja hapo zipo Tanzania kweli pale kariakoo nazipata kweli ?!
Hapo kwenye kipengele cha performance ndio pamuhimu zaidi wataalamu watupigie pindi la similarities & differences CHIEF MKWAWA na wanafunzi wake Reuben Challe
Hapa naona Xiaomi kapigwa... camera, chipset, memory n.k
Hapo F6 ina UFS 4.0 internal storage wakati xiaomi ana 3.1, UFS 4.0 ni faster mara mbili ya UFS 3.1.
F6 ni latest zaidi kwa miezi 8 kuliko xiaomi.
Ningechukua F6.
Tuwasubirie wataalam waje watutafsirie hizi data:
Kushoto 13T na Kulia F6
Za Lini?
View attachment 3030829
Display
View attachment 3030823
Performance
View attachment 3030825
Camera
View attachment 3030826
Selfie
View attachment 3030827
Asante Sana Chief hapa nadhani mtoa mada kama mfuko unaruhusu aruke tu na hiyo 13T....hivi mkuu samahani, vipi Samsung S10 5g nayo ina telephoto amaUkiangalia perfomance wise ni kweli F6 ipo juu hilo halina shaka, ila mtoa mada ana vigezo vingine pia.
Angalia Camera main Camera ya 13T ni 1/1.28 ni camera yenye sensor kubwa aka flagship level compare na 1/1.95 ambayo ni camera ya kawaida level za kina redmi.
Si hapo tu ukiangalia secondary camera ya 13t ni telephoto, F6 haina Telephoto, hii ni zile lens ambazo mtu/kitu yupo km kadhaa unamvuta karibu na kutoa picha nzuri.
Hata ultrawide hapo unaona ya 13T ipo vizuri, kifupi 13T ni flagship level camera wakati F6 ni midrange level.
Pia 13T itakaa na chaji zaidi sababu soc yake ni more efficient hasa kwenye low load wakati F6 ukaaji chaji ni wa kawaida.
Fast charging F6 ipo vizuri zaidi sema utofauti si mkubwa sana.
Inayo mkuuAsante Sana Chief hapa nadhani mtoa mada kama mfuko unaruhusu aruke tu na hiyo 13T....hivi mkuu samahani, vipi Samsung S10 5g nayo ina telephoto ama
Shukrani mkuu. Hivi hiyo one plus 12r ni nzuri kuliko Xiaomi 13T pro au 13 plain. Naona bei zinafanana ni kama milioni 1.2 hiviXiaomi 13T all around ni simu bora zaidi kushinda zote, F6 ni perfomance oriented ila haina feature nzuri kushinda 13T na A54 ina camera na display nzuri ila perfomance imeachwa mbali na hao wengine.
Kuongezea mkuu Cheki na Oneplus 12R ni flagship killer kali sana ila kama huwezi kuipata 13T si mbaya sababu nayo ni flagship material.
Sina uhakika Camera huenda imepitwa 12R ila ukaaji chaji, fast charging, perfomance, ipo vizuri sana.Shukrani mkuu. Hivi hiyo one plus 12r ni nzuri kuliko Xiaomi 13T pro au 13 plain. Naona bei zinafanana ni kama milioni 1.2 hivi