Ipi siri ya "Google Search" Kuyapa kipaumbele kwenye mpangilio mambo ya kipuuzi kuliko yenye tija?

Naomba uandike nabii kwenye search Google then U-screenshort majibu uweke hapa! Usijifanye mkristu kuliko waroma
Mkuu jibu uliwezaje kujua uwepo wa mambo yote uliyoorodhesha bila ya kuwa na interest au curious ya kujua mambo hayo?

I mean kamwe huwezi kujua nakuorodhesha kitu ambacho hukijui.

Mimi nimesearch nimepata hivi

Prophets of islam, humans who, in the Islamic faith, have been chosen as prophets by God. Similarly, in Syriac Christianity Old Testament prophets are referred to as Nabi as well.

Sasa jiulize kwanini wewe ikuletee nabii tito.
 
Ndicho hicho kinachopendwa na watanganyika!

Habari za ufiraji, ngono na tuvitu twingine tudogo dogo!

Wengine hata Kiswahili hawajui, lakini
kutwa wako bize na maambaruti.

Wanachoweza ni janja janja tu na kupiga porojoo!
 
Inatokana na wingi wa watumiaji kutafuta juu ya habari hizo zisizo na tija au wanaita trend. Hivyo usiilaumu Google, bali walimwengu, yaani watumiaji.
 
Sc
Screenshot tafadhar
 
Sc

Screenshot tafadhar
Screenshot mimi situmii simu.
Ila nimeshakuonesha nini nimepata ukisearch nabii.

jibu uliwezaje kujua uwepo wa mambo yote uliyoorodhesha bila ya kuwa na interest au curious ya kujua mambo hayo au bila kujua uwepo a mambo hayo kabla?

Jibu hilo swali.
 
Ruthu ni nani kwenye Bible?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…