Sakwe Member Joined Jul 31, 2022 Posts 46 Reaction score 300 Sep 9, 2022 #1 Habari wana JF kuna simulizi nyingi za maisha ya kweli ya wana JF humu ni ipi bora kwako? Yangu ni ya khumbu wa South Afrika, mke wangu Hamida, yule jamaa wa sitatosahu ya RFA Shaka Zullu aisee karibuni
Habari wana JF kuna simulizi nyingi za maisha ya kweli ya wana JF humu ni ipi bora kwako? Yangu ni ya khumbu wa South Afrika, mke wangu Hamida, yule jamaa wa sitatosahu ya RFA Shaka Zullu aisee karibuni