DIKASHWA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 378
- 964
Naomba kufahamishwa kwa waliowahi kutumia Toyota Preimio,zipo za version mbalimbali lakini me niko interested na Primio modal ya 2004 na 2005 CC1490 , binafsi nimejaribu kuchunguza sijajona tofauti ya kimaumbile but nilipoingia kikokotozi cha TRA zinadiffer kwa zaidi ya laki saba,kwenye kodi,but kwenye bei ya Japan hazitofautiani sana bei.
Kabla sijaenda kujilipua naomba muongozo kwa gari tajwa hapo juu
Kabla sijaenda kujilipua naomba muongozo kwa gari tajwa hapo juu