Umesema bila kumung'unya.Sorry lkn mkuu hizo hua hazina mvuto kabisaa,sorry lkn
Hahah anisamehe tu mkuu,lkn hio gari daah Mungu anamuona basi tu,hahahUmesema bila kumung'unya.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
_Jf Mtawangu
ila msema kweli mpenz wa mungu.Hahah anisamehe tu mkuu,lkn hio gari daah Mungu anamuona basi tu,hahah
Naomba kufahamishwa kwa waliowahi kutumia Toyota Preimio,zipo za version mbalimbali lakini me niko interested na Primio modal ya 2004 na 2005 CC1490 , binafsi nimejaribu kuchunguza sijajona tofauti ya kimaumbile but nilipoingia kikokotozi cha TRA zinadiffer kwa zaidi ya laki saba,kwenye kodi,but kwenye bei ya Japan hazitofautiani sana bei.
Kabla sijaenda kujilipua naomba muongozo kwa gari tajwa hapo juu View attachment 811824
Hahaha najua but mfuko kaka ndo unadetermine hapa mjini uendeshe nini, coz nadeclare interest me napenda sedan so unashauri labda altenative gani coz mark X ,Mark ii brevis , crown nazipenda but running cost zake naona kwangu sio rafik kabisa. Allion siipendiSorry lkn mkuu hizo hua hazina mvuto kabisaa,sorry lkn
Nimejaribu kuchunguza gear liver za CC 1490 sio zigzag kwa magari ya 2005.But thanks kwa kunielewesha, je kama umezitumia vip confortability yak barabarani2004 na 2005 zinatofauti kimuundo tu kidgo, mfano gear liva ya 2005(baadhi ni zigzag) wakati ya 2004 iko mstari mnyoofu, taa ya nyuma ya 2005 ina mbwembwe kidgo tofauti na 2004 na hata fog lamp ya 2005 ni ndogo zaidi kuliko 2004.
tafuta allion,inafanana kila kitu na premio ila ina sura nzuri zaidi , premio imefubaa, yani face yake is not attractive ata muundo wa taa.Sorry lkn mkuu hizo hua hazina mvuto kabisaa,sorry lkn
Nimejaribu kuchunguza gear liver za CC 1490 sio zigzag kwa magari ya 2005.But thanks kwa kunielewesha, je kama umezitumia vip confortability yak barabarani
tafuta allion,inafanana kila kitu na premio ila ina sura nzuri zaidi , premio imefubaa, yani face yake is not attractive ata muundo wa taa. alafu usinunue migari iliyozagaa mjini kisa majina. utakuwa kama bendera.
allion ikiwa na sports rims we acha kabisa. ila premio ni kwa wazee allion ya vijana. ila kila mtu na choice yake.Mimi namshauri asifuate ushauri wako, yeye aangalie nafsi yake inapenda nini kwa mfano mimi allion siipendi pyuu, ila napenda premio. Kuwa nyingi mjini sio ishu hakuna kitu cha peke ako, aliye wa pekee ni Mungu hakuna kingine.
premio ndo nzuri kuliko allion ukitaka u luxury nenda kwa premiotafuta allion,inafanana kila kitu na premio ila ina sura nzuri zaidi , premio imefubaa, yani face yake is not attractive ata muundo wa taa.
Mi nimetumia Premio ya 1999 baadae nikaiuza nikanunua ya 2002 ninayo kwa sasa. Ni gari nzuri. Suala la mdau kuwa gari haina sura nzuri ni mtazamo wake. Maana hata binadamu wako hivyo. We ukimchagua mwanamke na ukasema ni mzuri kuna mwingine atasema jamaa ni mtu wa hovyo sana kaacha wanawake wazuri kamchukua yule!!. Ni gari nzuri nunua. Ni imara na imetulia sana barabarani. Nimeiendesha toka Bk to Mwanza km 426, Bk to Dar mara nyingi km karibu 1400 Bk to Mpanda, Bk to Kampala na haijanisumbua. Sema ya kwangu ni cc 1740. Mafuta haibugii. Chukua chuma mzee. Hakuna gari nyingi Tz kama Landcruiser hardtop na V8 lakini bado zinanunuliwa tu. Ukitaka gari ya peke yako hutoipata.