dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,174 Reaction score 5,658 Mar 15, 2018 #1 Salute, Naskiaga sana watu wanasema, mimi namiliki banda la nyumba , ni nini na nini kinatakiwa kuwepo katika nyumba ndo tuiite hii ni nyumba? Nini chanzo cha huu msemo?
Salute, Naskiaga sana watu wanasema, mimi namiliki banda la nyumba , ni nini na nini kinatakiwa kuwepo katika nyumba ndo tuiite hii ni nyumba? Nini chanzo cha huu msemo?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Mar 15, 2018 #2 Chanzo cha huo msemo nadhani ni wale waliokata tamaa au walioshindwa kuwa na nyumba nzuri na ya kisasa iliyokamilika kila idara
Chanzo cha huo msemo nadhani ni wale waliokata tamaa au walioshindwa kuwa na nyumba nzuri na ya kisasa iliyokamilika kila idara
dimaa JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 4,174 Reaction score 5,658 Mar 15, 2018 Thread starter #3 Joseverest said: Chanzo cha huo msemo nadhani ni wale waliokata tamaa au walioshindwa kuwa na nyumba nzuri na ya kisasa iliyokamilika kila idara Click to expand... Inakuwa na nini na nini?
Joseverest said: Chanzo cha huo msemo nadhani ni wale waliokata tamaa au walioshindwa kuwa na nyumba nzuri na ya kisasa iliyokamilika kila idara Click to expand... Inakuwa na nini na nini?
Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,245 Reaction score 11,767 Mar 15, 2018 #4 nyumba ni jengo unaloishi.. banda ni sehemu ya kujificha.