Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Injini za kupozwa kwa maji ndio nzuri, ukilinganisha na air cooled.Vip kuhusu uimara wa chombo yan injini, difu na zaga zingine za kiufundi ukiacha muonekano wa macho
Vipi kuhusu uwezo wa kuchukua mizigo?Injini za kupoza kwa maji kwa maana ya zenye rejeta kama iyo wanhoo au sio