kankara Member Joined Jul 19, 2014 Posts 25 Reaction score 17 Jun 8, 2020 #1 Habari wana jamvi Naomba kujuzwa kuhusu izi pikipiki za kubebea mizigo zenye tairi tatu maarufu kama TOYO ni aina gani ni bora zaidi bei usizidi 5M
Habari wana jamvi Naomba kujuzwa kuhusu izi pikipiki za kubebea mizigo zenye tairi tatu maarufu kama TOYO ni aina gani ni bora zaidi bei usizidi 5M
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,489 Reaction score 14,091 Jun 8, 2020 #2 Chukua Wanhoo. Ina body kubwa, imara na Ina nguvu.
kankara Member Joined Jul 19, 2014 Posts 25 Reaction score 17 Jun 8, 2020 Thread starter #3 Vip kuhusu uimara wa chombo yan injini, difu na zaga zingine za kiufundi ukiacha muonekano wa macho
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,489 Reaction score 14,091 Jun 8, 2020 #4 kankara said: Vip kuhusu uimara wa chombo yan injini, difu na zaga zingine za kiufundi ukiacha muonekano wa macho Click to expand... Injini za kupozwa kwa maji ndio nzuri, ukilinganisha na air cooled. Kama ilivyo hizo Wanhoo
kankara said: Vip kuhusu uimara wa chombo yan injini, difu na zaga zingine za kiufundi ukiacha muonekano wa macho Click to expand... Injini za kupozwa kwa maji ndio nzuri, ukilinganisha na air cooled. Kama ilivyo hizo Wanhoo
kankara Member Joined Jul 19, 2014 Posts 25 Reaction score 17 Jun 8, 2020 Thread starter #5 Injini za kupoza kwa maji kwa maana ya zenye rejeta kama iyo wanhoo au sio
W Wella New Member Joined Dec 14, 2023 Posts 1 Reaction score 0 Dec 15, 2023 #6 kankara said: Injini za kupoza kwa maji kwa maana ya zenye rejeta kama iyo wanhoo au sio Click to expand... Vipi kuhusu uwezo wa kuchukua mizigo?
kankara said: Injini za kupoza kwa maji kwa maana ya zenye rejeta kama iyo wanhoo au sio Click to expand... Vipi kuhusu uwezo wa kuchukua mizigo?
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Dec 16, 2023 #7 Q7 250, na W8 250 na hoyo Wanhoo ipi nzuri.