Ipi video ya adam juma unayoikubali zaidi.?

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398
Sio siri kwamba adam juma mmiliki wa kampuni ya visual lab ni miongoni mwa ma producer(director) wachache ambao wamefanikisha kuzitoa video za muziki wa bOngo katika hali ya chini/kawaida na kuzipandisha kuwa video zenye viwango bora/next level,natambua mchango wa madirector wengine na kampuni nyingine zailizokuwa zinashoot na kudirect video za wasanii wa bongo kama vile wananchi video production,2 eyes production ,emptsoulz n.k lakin adam juma ndio aeleta mapinduzi kwa kiwango kikubwa ni ukweli usiopingika huo,tusisubiri mtu afe ndio tumpe sifa zake ,kama inaweezekana tumpe sasa hivi akiwa hai ajionee! najua aametengeneza video nzuri tu nyingi lakini kwangu mimi iliyonikosha zaidi na ninayoikubali kwa kila kitu ni nyimbio ya nakaya-mr politician,karibu mwana jf ufunguke ipi unayioikbali zaidi kiroho safi tu.
 
Last edited by a moderator:
yaani ushauri tu kwa adam sasa ni wakati wa yeye kutengeneza video za hd 1080p kama ogopa dj au peter clerence wa naija kitu kingine colour zinakuwa kama na giza
 
yaani ushauri tu kwa adam sasa ni wakati wa yeye kutengeneza video za hd 1080p kama ogopa dj au peter clerence wa naija kitu kingine colour zinakuwa kama na giza
sure lakini naweza kumtetea kwamba alikuwa ana project nyingi sana yaani wastyani kila wiki alikuwa ana achia video moja sasa unafikiri muda wa kuconcentrate anaupata wapi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…