Hello wana jamii forums
Mimi nimejaribu kuangalia jinsi biashara zinavyoenda hususani Moshi,nimeona kuna utendaji wa biashara wa aina mbili kutembeza na nyingine kukaa kusubiria wateja,mfano biashara ya nguo,viatu,ndizi naona kuna wanaotembeza na wanao kaa mahali kusubiria wateja.Ipi ni nzuri kati ya hizi na ipi yenye faida biashara ya kutembeza au kukaa kusubiria wateja.
Nahitaji mchango wenu wa mawazo.
Asanteni